Friday, October 18

Kitaifa

Wawi kupatiwa maendeleo ya kisasa.
Kitaifa, Siasa

Wawi kupatiwa maendeleo ya kisasa.

WAGOMBEA Uwakilishi na Ubunge jimbo la Wawi Wilaya ya Chake Chake, wamesema iwapo wananchi watawapatia ridhaa ya kuongoza jimbo hilo, watahakikisha watahakikisha wanakuwa bega kwa bega na wananchi jimbo hilo, katika kutatua changamoto zinazowakabili wananchi kwa muda mrefu. Wagombea hao waliyaeleza hayo wakati walipokuwa wakiomba kura, wakati wa uzinduzi wa kampenzi za jimbo hilo huko katika uwanja wa Ditia Wawi. Wamesema kuwa wananchi wa jimbo hilo wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbali mbali, lakini ilani wa CCM 2020/2015 imeweka wazi kila kitu hivyo wananchi wategemee mambo makubwa. Mgombea Uwakilishi wa jimbo la Wawi Bakari Hamad Bakari, aliwataka wananchi wa wawi kuwa kitu kimoja, kwani maendeleo hayana chama, dini, rangi wala kabila, bali ni yawananchi wote. “l...
NMB yarudisha faida kwa wananchi.
Biashara, Kitaifa

NMB yarudisha faida kwa wananchi.

  BENK ya NMB Tawi la Pemba imewataka wadau wake kuendelea kufurahia huduma mbali mbali zinazotolewa na Bank hiyo, kwani imekuwa na kawaida ya kurudisha faida zake kwa jamii. Kauli hiyo imetolewa na meneja wa Benk hiyo Pemba Hamad Msafiri, wakati wa halfa fupi ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja, iliyofanyika ndani ya benk hiyo mjini chake chake. Alisema benk hiyo imeweza kusaidia jamii kwa kutoa vitu mbali mbali, ikiwemo bati, nondo, Saruji hata madawati pale jamii inapopeleka maombi yao.   Aidha aliwashukuru wateje wao na watanzania wote kwa kuendelea kuwaamini na wafanyakazi wao kuendelea kutoa huduma bora kwa wateja, sambamba na kutoa mashirikiano makubwa. “Wateja wa NMB na wafanyakazi leo tunaungana na ulimwengu mzima kuadhimisha wiki ya huduma...
Mdhamini awataka wazazi kuwa karibu na walimu.
Kitaifa

Mdhamini awataka wazazi kuwa karibu na walimu.

  RAIYE MKUBWA – WVUSM.   AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo, Fatma Hamad Rajab, amewaomba wazazi kuwa karibu na walimu ili kuchangia maendeleo ya watoto wao. Aliyasema hayo alipokua akizungumza katika Ugawaji wa Zawadi kwa wanafunzi, waliofanya Vizuri katika mitihani ya ndani na Mtihani wa Taifa Katika skuli ya Sekondari Chasasa wilaya ya wete Pemba. Alisema mashirikiano yao yataweza kupelekea watoto kufanya vizuri, sambamba na kujuwa changamoto za watoto wao skulini hapo. Aidha aliutaka uongozi wa skuli kuwa na mashirikiano ya pamoja na ofisi ya wilaya, pamoja na skuli nyengine kwa kufanya mitihani ya pamoja, ili kupima viwango vya wanafunzi wao na kupeleka mbele suala la elimu. “Mashirikiano lazima yawepo katika elimu, walim...
Mgombea Urais NRA:nitauenzi na kuulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kitaifa, Siasa

Mgombea Urais NRA:nitauenzi na kuulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

  MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia chama cha NRA Khamis Faki Mgau, amesema iwapo wananchi wakampa ridhaa ya Kuongoza Zanzibar, atahakikisha nauenzi na kuulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kutokana na kuwa na faida nyingi kwa wazanzibari. Alisema wananchi wa Zanzibar kwa kiasi kikubwa wanafaida sana na matunda ya Mungano huo, kwani wapo wazanzibari wengi wamekuwa wafanyabiashara wakubwa Tanzania bara, mpaka wengine kumiliki mali kubwa kubwa. Mgombe ahuyo aliyaeleza hayo huko katika kijiji cha kambini kichokochwe Wilaya ya Wete, wakati wauzinduzi wa mkutano wa jimbo la Kojani. Alisema chama cha kitahakikisha kinakuwa muumini mkubwa wa Muungano huo uliopo hivi sasa, licha ya baadhi ya vyama kutaka kuuvunja muungano huo. Akizungumzia suala la Mapinduzi, mgombea...
VIDEO: ADA -TADEA Yazindua  Kampeni  Mkoa wa kaskazini Pemba.
Kitaifa, Siasa

VIDEO: ADA -TADEA Yazindua Kampeni Mkoa wa kaskazini Pemba.

  Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADA-TADEA  Juma Ali Khatib amesema endapo wananchi watampa ridhaa ya kuiongoza  Zanzibar  kwa miaka mitano ijayo atahakikisha anaifanyia matengenezo makubwa bandari ya wete Pemba kwa lengo kuongeza kipato kwa wananchi na Taifa kwa ujumla. Mh, Ali  Juma Khatib ameyasema hayo huko Jadida Wete Pemba wakati alipokuwa akuzungumza na wananchi pamoja na wanachama wa chama hicho katika uzinduzi wa Kampeni za chama hicho kwa upande wa Mkoa wa kaskazini Pemba. Amesema bandari ni chanzo kikubwa cha kuingiza mapato na ukizingatia bandari ya Wete ipo karibu na nchi jirani ambazo zinamuingiliano mkubwa na wafanya biashara hivyo atahakikisha anaifanyia matengenezo bandari hiyo. Mgombea huyo pia amesema chama chake kinaweka mipango mizuri ...