Sunday, December 29

MAZINGIRA

Tanzania yaanika sababu ya kuwa na Simba wengi duniani
MAZINGIRA, Utamaduni

Tanzania yaanika sababu ya kuwa na Simba wengi duniani

Rais wa Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa, (SCI), Sven Lindqueast ameitaja Tanzania kuwa ni nchi yenye  nusu ya simba wote Duniani katika Mkutano wa 50 wa Mwaka wa Uwindaji wa Kitalii unaoendelea kufanyika jijini Las Vegas, Marekani Rais huyo Bw. Sven Lindquest amesema kwa hatua hiyo anaipongeza Tanzania kwa juhudi kubwa za uhifadhi uliopelekea wingi wa wanyamapori hao. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amesisitiza kuwa nusu ya simba wote wapo Tanzania  kutokana na uimara wa Serikali katika shughuli za  uhifadhi Amesema kuimarika kwa shughuli za uhifadhi hususani kwa Wanyamapori walao nyasi ni moja ya sababu ya Tanzania kuwa na Simba wengi  hivyo imepelekea  Simba nao  kuongezeka kutokana na uhakika wa  chakula cha kutosha Amefafanua kuwa Simba hula wanyamap...
PEMBA waanza kuadhimisha Mapinduzi kwa usafi wa Mazingaira
Kitaifa, MAZINGIRA

PEMBA waanza kuadhimisha Mapinduzi kwa usafi wa Mazingaira

NA HANIFA SALIM, PEMBA SHAMRA Shamra za maadhimisho ya sherehe za miaka 58 ya mapinduzi ya Zanzibr zimeanza Kisiwani Pemba kwa zoezi la usafi katika maeneo mbali mbali. Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa zoezi hilo, Mkuu wa mkoa wa kusini Pemba, Mattar Zahor Massoud alisema, wafanyakazi na wananchi wameanza ratiba ya kufanya usafi wa mazingir, katika maeneo mbali mbali ya Unguja na Pemba. Alieleza kuwa, Mapinduzi ya ni jambo kubwa na ni kielelezo cha historia ya nchi, ilikotoka licha ya kuwa kuna baadhi ya watu hawaoni thamani ya kazi ambayo wazee wao wameifanya. “Tunaposherekea sherehe za Mapinduzi, tunajikumbusha tulikotoka ni nafasi yetu wananchi kutathmini tulipotoka, tulipo sasa na tunakoelekea na lazima tumshukuru jemedari wetu Mzee Abeid Amani Karume na wen...
JAFO ASITISHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI WA MADINI YA NICKEL MLIMA YOBO WILAYANI CHAMWINO
Biashara, Kitaifa, MAZINGIRA

JAFO ASITISHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI WA MADINI YA NICKEL MLIMA YOBO WILAYANI CHAMWINO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza katika ziara ya kukagua mazingira katika mlima wa Yobo linalochimbwa madini aina ya nickel wilayani Chamwino mkoani Dodoma leo Desemba 30, 2021. Eneo lililochimbwa madini aina ya graphite likiwa limeachwa na mashimo baada ya kumalizika shughuli hiyo ambalo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa maagizo lifanyiwe kazi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiangalia changamoto ya kimazingira katika eneo la Kijiji la Itiso linalchimbwa graphite wilayani Chamwino mkoani Dodoma leo Desemba 30, 2021. (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makam...
Bara la nane duniani lililochukua miaka 375 kugundulika
Kimataifa, MAZINGIRA, Utamaduni

Bara la nane duniani lililochukua miaka 375 kugundulika

CHANZO CHA PICHA,GNS SCIENCE Ilichukua miaka 375 kwa wanasayansi kugundua bara la nane duniani, ambalo limekuwa likijificha sehemu ya wazi muda wote. Lakini bado kuna fumbo halijawekwa wazi. Ilikuwa mwaka 1642 na Abel Tasman alikuwa kwenye kazi maalumu. Baharia mzoefu wa Uholanzi mwenye sharubu zenye mbwembwe na ndevu nyingi lakini i pia alikuwa ni mpenda haki. Alikuwa na uhakika wa kuwepo kwa bara kubwa katika kusini mwa dunia na aliamua kulitafuta. Wakati huo, sehemu hii ya dunia ilikuwa bado haijulikani kwa Wazungu, lakini walikuwa na imani thabiti kwamba lazima kutakuwa na ardhi kubwa huko ambayo iliitwa Terra Australis. Ili kusawazisha bara lao la Kaskazini, Marekebisho hayo yalianza nyakati za Warumi wa Kale, lakini sasa tu ndio yanakwenda kujarib...

Warning: file_get_contents(): http:// wrapper is disabled in the server configuration by allow_url_fopen=0 in /data/40/5/71/99/5397425/user/6768456/htdocs/portal/wp-content/plugins/xt-visitor-counter/xt-visitor-counter.php on line 48

Warning: file_get_contents(http://api.xtrsyz.org/xt-visitor-counter/default.php?domain=www.pembapress.club&time=1735440404): Failed to open stream: no suitable wrapper could be found in /data/40/5/71/99/5397425/user/6768456/htdocs/portal/wp-content/plugins/xt-visitor-counter/xt-visitor-counter.php on line 48