Sunday, November 24

MAZINGIRA

JET yawataka watanzania kuendelea kulinda misitu
Kitaifa, MAZINGIRA

JET yawataka watanzania kuendelea kulinda misitu

NA ABDI SULEIMAN. CHAMA cha Waandishi wa habari za Mazingira Tanzania (JET), kimewataka watanzania kutokukata miti ovyo ovyo, badala yake kupanda miti kwa wingi ili kuendelea kulinda misitu nchini. Kauli hiyo imetolewa na mkurugenzi Mtendaji wa JET Tanzania John chikomo, katika taarifa yake kwa yombo vya habari na wadau wa mazingira hivi karibuni. (more…)
ZEMA yateketeza tani 1.5 ya vifuko vya plastiki Pemba
Kitaifa, MAZINGIRA

ZEMA yateketeza tani 1.5 ya vifuko vya plastiki Pemba

NA ABDI SULEIMAN. MAMLAKA ya Usimamizi wa Mazingira Pemba, imefanikiwa kuteketeza kwa moto Tani 1.5 ya vifuko vya plastiki vikiwa na Thamani ya Zaidi ya shilingi Milioni 10, mali ya mfanya biashara Mohamed Juma Ali wa Kiuyu Minungwini. Zoezi la utekelezaji wa vifu hivyo lilifanyika huko huko kwareni Vitongoji nje kidogo ya mji wa Chake Chake, huku likisimamiwa na viongozi mbali mbali wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. (more…)
ZEMA yateketeza tani 1.5 ya vifuko vya plastiki Pemba vikiwa na thamani ya zaidi ya milioni 10
Kitaifa, MAZINGIRA

ZEMA yateketeza tani 1.5 ya vifuko vya plastiki Pemba vikiwa na thamani ya zaidi ya milioni 10

MAMLAKA ya Usimamizi wa Mazingira Zanzibar (ZEMA)Ofisi ya Pemba, leo 22/3/2023 imeteketeza vifuko vya plastiki tani 1.5 vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 10, mali ya mfanya biashara Mohamed Juma Ali mkaazi wa Kiuyu Minungwini. Vifuko hivyo vimeteketezwa katika  eneo la kwareni Vitongoji Wilaya ya chake Chake, baada ya mahakama Wilaya ya Wete kumtia hatiani na kuamuru kuteketezwa. Zoezi hilo la uteketezaji limeweza kushuhudiwa na viongozi mbali mbali wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.  
UJENZI NJIA ZA WANYANAMA PORI ‘SHOROBA’ KILOMBERO
hifdhi na utalii, Makala, MAZINGIRA

UJENZI NJIA ZA WANYANAMA PORI ‘SHOROBA’ KILOMBERO

  UJENZI NJIA ZA WANYANAMA PORI ‘SHOROBA’ KILOMBERO -Wananchi waramba fidia walioathiriwa na ujenzi ‘STEP’ yawaanzishia vikoba 250 kubadili maisha yao NA ABDI SULEIMAN, PEMBA “HAIKUWA kazi rahisi, kuwaelimisha wananchi mapaka kukubali, kutoa maeneo yao, kwa ajili ya ujenzi wa njia za wanyama pori ‘Shoroba’ na sasa imeshajengwa,’’ anasem Meneja Mpango wa kuhifadhi Tembo kusini mwa Tanzania ‘STEP’ Joseph Mwalugelo. Shoroba ni njia maalum, ambayo hupitwa na wanyama pori kutoka eneo moja kwenda jingine. (more…)
HIFADHI YA TAIFA YA UDZUNGWA -Inyohifadhi miti aina 2500, wanyama aina 12 ni kivitio cha watalii
hifdhi na utalii, Kitaifa, Makala, MAZINGIRA

HIFADHI YA TAIFA YA UDZUNGWA -Inyohifadhi miti aina 2500, wanyama aina 12 ni kivitio cha watalii

                 HIFADHI YA TAIFA YA UDZUNGWA   -Inyohifadhi miti aina 2500, wanyama aina 12 ni kivitio cha watalii  -Maporomoko yake ya maji ndio chanzo cha uzalishia umeme wa Kidatu NA ABDI SULEIMAN, PEMBA Ni eneo tulivu likiwa na mazingira mazuri ya kuvutia, hali ya hewa yenye ubarid baridi ndani yake, huku sauti za wanyama mbali mbali zikisikika, ikiwemo ndege na Kima. Sauti ya maporomoko ya maji yakisikika kwa ukaribu kutoka ndani ya maporomoko ya maji yaliyoko ndani ya hifadhi hiyo ya milima ya Udzungwa. (more…)