Idara kuwachukulia hatua wanaotoa elimu ya kisheria bila kujisajili
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.
MKURUGENZI wa Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar Hanifa Ramadhan Said, amezitaka Taasisi zinazotoa elimu ya msaada wa kisheria, Mawakili na wasaidizi wa sheria, kuhakikisha mtu yoyote anaetoa elimu ya msaada wakisheria amesajiliwa rasmi na idara hiyo.
(more…)