Wednesday, January 15

Utamaduni

RAIS MHE.SAMIA SULUHU ASIMIKWA KUWA MKUU WA MACHIFU TANZANIA
Utamaduni

RAIS MHE.SAMIA SULUHU ASIMIKWA KUWA MKUU WA MACHIFU TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akivalishwa Mavazi ya Kimila kuwa  Chifu Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa jina la Hangaya yani ni Nyota inayong`aa, katika Tamasha la Utamaduni (Mila na Desturi zetu) lililofanyika leo Sept,08,2021 katika Viwanja vya Redcross Kisesa Magu, Mkoani Mwanza. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akivalishwa Mavazi ya Kimila kuwa  Chifu Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa jina la Hangaya yani ni Nyota inayong`aa, katika Tamasha la Utamaduni (Mila na Desturi zetu) lililofanyika leo Sept,08,2021 katika Viwanja vya Redcross Kisesa Magu, Mkoani Mwanza. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Mkuki na Ngao kutoka kwa Chifu Fundi Kira Makamu Mwenyeki...
Waziri Tabia azindua tamasha Tumbe.
Michezo, Utamaduni

Waziri Tabia azindua tamasha Tumbe.

NA ABDI SULEIMAN. Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Tabia Maulid Mwita, amesema kuwa kufanyika kwa resi za ngalawa na mbio za baskeli Pemba, ni moja ya ishara ya kutangaza utalii wa kisiwa hicho. Waziri tabia aliyaeleza hayo wakati alipokua akifungua resi za ngalawa na mbio za baskeli katika kijiji cha Tumbe, ikiwa ni shamrashamra za tamasha la utamaduni wa mzanzibari ambalo hufanyika kila mwaka Kisiwani Pemba. Akizungumza na wanamichezo hao, alisema kufanyika kwa mashindno hayo ni moja ya ishara muhimu ya kutangaza utalii ya Kisiwa cha Pemba kwa kutumia ngoma mbali mbali za asili. Alisema kwa hatua hiyo imekuja baada ya kuona michezo hiyo imekua ikipoteza uasilia wake, licha ya waanzishili wake ni kutoka maeneo ya hayo hayo ya Tumbe. ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Aipongeza CRDB Kwa Jitihada za Kuchangia Maendeleo ya Jamii.
Utamaduni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Aipongeza CRDB Kwa Jitihada za Kuchangia Maendeleo ya Jamii.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (katikati) akikata utepe kuzindua Afisi ya Maendeleo kata ya Kizimkazi Dimbani na nyumba mbili za madaktari zilizonjengwa kwa ufadhili wa Benki ya CRDB na kugharimu shilingi milioni 300. Wengine pichani ni, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Haroun Ali Suleiman (watatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Rashid Hadid Rashid (wakwanza kushoto), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Hussein Laay (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wapili kulia) na Mwenyekiti wa CRDB Bank Foundation, Martin Warioba (wakwanza kulia). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipiga makofi baada ya kuweka jiwe la msingi la Afisi ya Ma...
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi Amefungua Mafunzo ya Wajasiriamali na Kuipongeza Benki Ya CRDB Kwa Tamasha La Kihistoria La Kizimkazi.
Kitaifa, Utamaduni

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi Amefungua Mafunzo ya Wajasiriamali na Kuipongeza Benki Ya CRDB Kwa Tamasha La Kihistoria La Kizimkazi.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kizimkazi wakati akiwasili katika Viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi kwa ajili ya Ufunguzi waMafunzo ya Wajasiriamali na Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi, akiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Benki ya CRDB.Bi.TullyEsther Mwambapa, wakielekea katika ukumbi. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Benki ya CRDB, TullyEsther Mwambapa, alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi, kufungua Mafunzo ya Wajasiriamali wa Kizimkazi na kulifungua Tamasha la Kizimkazi, ufunguzi huo umefanyika katika ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Sekondari Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi ...