Thursday, January 16

Utamaduni

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS AWAONGOZA WAUMINI WA KIISLAMU KATIKA HAULI YA MAALIM SEIF
DINI, Kitaifa, Utamaduni

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS AWAONGOZA WAUMINI WA KIISLAMU KATIKA HAULI YA MAALIM SEIF

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, jana ameongoza Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, waumini wa Kiislam na wananchi mbali mbali katika Hauli ya kumkumbuka na kumuombea Dua maalum Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad. Dua hiyo maalum imefanyika huko Masjid Jibirili Mkunazini jijini Zanzibar na ilisimamiwa na Sheikh Abdurahman Alhabshy kwa khitma na nyiradi mbali mbali za kumuombea maghfira Marehemu Maalim Seif. Waliohudhuria katika dua hiyo ni pamoja na Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho Ndugu Juma Duni Haji, Kaimu Naibu Katibu Mkuu wake Zanzibar, Salim Abdalla Bimani, Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Khalid Ali Mfaume, Wanachama na Viongozi waandamizi wa ACT-...
MHE. MCHENGERWA AIKARIBISHA DUNIA TAMASHA LA SERENGETI KUPITIA SAUTI ZA BUSARA.
Michezo, Utamaduni

MHE. MCHENGERWA AIKARIBISHA DUNIA TAMASHA LA SERENGETI KUPITIA SAUTI ZA BUSARA.

Mhe. Mchengerwa akitambulishwa na kamati ya maandali ya tamasha la Sauti za Busara ili aongee na umati wa watu walioshiriki kwenye kilele cha tamasha hilo usiku wa kuamkia leo  ZanzibarMhe. Mchengerwa akiongea na umati wa wageni walioshiriki kwenye kilele cha Tamasha la Sauti za Busara  ZanzibarWaziri Mchengerwa akiteta jambo na Katibu Mkuu wake Dkt.Hassan Abbasi mara baada ya kuwasili kwenye kilele cha Tamasha la Sauti za Busara, huko Zanzibar  Umati wa watu waliohudhuria kwenye kilele cha tamasha la Sauti za Busara  huko Zanzibar.   Wasanii mbalimbali wakitumbuiza kwenye kilele cha tamasha la Sauti za Busara huko Zanzibar, Na. John Mapepele Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa amewakaribisha wageni mbalimbali waliohudhuria tamasha kubwa la kimataifa la S...
Tanzania yaanika sababu ya kuwa na Simba wengi duniani
MAZINGIRA, Utamaduni

Tanzania yaanika sababu ya kuwa na Simba wengi duniani

Rais wa Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa, (SCI), Sven Lindqueast ameitaja Tanzania kuwa ni nchi yenye  nusu ya simba wote Duniani katika Mkutano wa 50 wa Mwaka wa Uwindaji wa Kitalii unaoendelea kufanyika jijini Las Vegas, Marekani Rais huyo Bw. Sven Lindquest amesema kwa hatua hiyo anaipongeza Tanzania kwa juhudi kubwa za uhifadhi uliopelekea wingi wa wanyamapori hao. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amesisitiza kuwa nusu ya simba wote wapo Tanzania  kutokana na uimara wa Serikali katika shughuli za  uhifadhi Amesema kuimarika kwa shughuli za uhifadhi hususani kwa Wanyamapori walao nyasi ni moja ya sababu ya Tanzania kuwa na Simba wengi  hivyo imepelekea  Simba nao  kuongezeka kutokana na uhakika wa  chakula cha kutosha Amefafanua kuwa Simba hula wanyamap...
KAMISHENI ya Utalii Pemba, wanafunzi wa skuli ya Madungu Sekondari na wafanyakazi wa Pemba Lodge waufanyia usafi  ufukwe wa Kisiwa cha Shamiani Mwambe
Biashara, Utamaduni

KAMISHENI ya Utalii Pemba, wanafunzi wa skuli ya Madungu Sekondari na wafanyakazi wa Pemba Lodge waufanyia usafi ufukwe wa Kisiwa cha Shamiani Mwambe

NA ABDI SULEIMAN. KAMISHENI ya Utalii Pemba, imesema kuwa lengo la kufanya usafi katika ufukwe wa Kisiwa cha Shamiani Mwambe, ni kuutangaza ufukwe huo kuwa moja ya vivutio vya utalii vilivyopo Kisiwani Pemba. Kauli hiyo imetolewa na Mdhamini wa Kamisheni hiyo Hamad Amini, wakati alipokua akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa zoezi la ufanyaji usafi katika fukwe hiyo, kwa kushirikiana na watendaji wa kamisheni, wanafunzi wa skuli ya Madungu Sekondari na wafanyakazi wa Pemba Lodge. Alisema ufukwe huo ni moja ya fukwe muhimu na nzuri katika kisiwa cha Pemba, kuliko ufukwe wa vumawimbi ambao umezoeleka kutumiwa na wananchi. Alisema bado ufukwe wa Shamiani Mwambe haujajulikana, nifukwe safi na yakuvutia wawekezaji, hivyo kamisheni imelazimika kufanya...
Wazanzibar watakiwa kuutunza utamaduni wao ili kuwavutia watalii zaidi.
Biashara, Utamaduni

Wazanzibar watakiwa kuutunza utamaduni wao ili kuwavutia watalii zaidi.

NA ZUHURA JUMA, PEMBA WANANCHI wa Unguja na Pemba wametakiwa kutunza utamaduni wao, ili wanapokuja wageni kuwe na vitu vya kuwaonesha ambavyo vitawavutia zaidi. Akizungumza katika ziara ya kutembelea vituo vya utalii kwa waandishi wa habari na timu za watembeza watalii Zanzibar, iliyofanyika kisiwani Pemba Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Leila Mohamed Mussa alisema, ipo haja ya kuendeleza utamaduni wao ili wageni wavutike na mambo yaliyopo. Alisema kuwa, utalii wa Zanzibar unabebwa na utamaduni uliopo, hivyo iwapo utabadilika na kuwa kama wa kwao, itakuwa hakuna kitu cha kuwaonesha, hivyo wananchi wahakikishe vitu vilivyopo wanavipa vipaombele ili kusaidia kukuza utalii visiwani hapa. "Tusibadilike tukawa kama wao itakuwa hatuna vitu vya kuwaonesha, wageni wetu wanap...