Friday, November 8

vijana

Wadau wa maendeleo ya vijana wapitia sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2023
vijana

Wadau wa maendeleo ya vijana wapitia sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2023

Na Maryam Talib – Pemba.  WADAU wanaoshuhulikia uratibu wa maendeleo ya vijana kisiwani Pemba wametakiwa kuongeza juhudi  na kasi ya utekelezaji wa maswala ya vijana kwa lengo la kuleta maendeleo endelevu katika nchi. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya vijana Zanzibar Shaib Ibrahim Mohamed alipokuwa akifunga kikao cha siku moja cha upitiaji wa ripoti na sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2023 kwa wadau wa maendeleo ya vijana katika ukumbi wa Samael Gombani Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba. Mkurugenzi huyo akitoa pongezi kwa wadau hao alisema ipo haja ya kuongeza juhudi ya ushirikiano katika utekelezaji wa shuhuli zao kwa mwaka 2024 kama ilivooneshwa maendeleo na mafanikio kwa mwaka 2023. “Ninachoamini kwa mwaka huu 2024 kutaongezeka kasi, ari  katika ...
Vijana wametakiwa kutambua vyema kinachoendelea katika masuala kusimamisha Utawalaa bora 
vijana

Vijana wametakiwa kutambua vyema kinachoendelea katika masuala kusimamisha Utawalaa bora 

    Na Maryam Talib – Pemba.  Ofisa Mdhamin Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Pemba Halima Khamis Ali aliwataka vijana kutambua vyema kinachoendelea katika masuala kusimamisha Utawalaa bora  katika maeneo tofauti  kwani vijana ndio nguvu kazi ya taifa kusudi kuwa mabalozi wazuri katika jamii zetu. Aliyasema hayo alipokuwa akifungua mkutano wa siku moja uliowashirikisha vijana 40 kutoka shehia tofauti za Wilaya Chake Chake uliofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala bora kisiwani Pemba. Mdhamin  huyo alisema mafunzo hayo ya Rshwa na utawala bora ,ajira  yamefanyika kwa vijana kwani wao ndio wahusika katika maswala  mengi vijana kwani taifa imara ni taifa lenye vijana wengi lakini  wawe na uzalendo  na uchun...
Vijana kisiwani Pemba wametakiwa  kuuchangia vyema Mpango mkakati wa kitaifa.
vijana

Vijana kisiwani Pemba wametakiwa kuuchangia vyema Mpango mkakati wa kitaifa.

Na Maryam Talib – Pemba. Ofisa Mdhamin Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo  Pemba Mfamau Lali Mfamau amewataka baadhi ya vijana kisiwani Pemba kuibua na kuuchangia vyema Mpango mkakati wa kitaifa katika vipengele vyote ambavyo vimeainishwa katika mpango huo utakaowasilishwa na washauri elekezi wa mpango huo. Aliyasema hayo alipokuwa akifungua mafunzo yaliyoendeshwa kwa siku mbili yaliyowashirikisha vijana wenye mahitaji maalumu , vijana wa mitaani , vijana walio sober house, na kundi la wanasiasa kutoka maeneo tofauti ya kisiwa cha Pemba  katika ukumbi wa Wizara ya fedha  na ukumbi wa Makonyo Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa kusini Pemba. Mdhamini huyo aliwaambia vijana hao hiyo ni fursa ya kipekee ambayo wamepatiwa hivyo kutoa michango iliyo bora ili iweze kuleta m...
TAMWA ZANZIBAR yakemea udhalilishaji wa watoto kupitia mitandao ya kijamii.
Kitaifa, vijana, Wanawake & Watoto

TAMWA ZANZIBAR yakemea udhalilishaji wa watoto kupitia mitandao ya kijamii.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: TAMWA ZANZIBAR yakemea udhalilishaji wa watoto kupitia mitandao ya kijamii. CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania Zanzibar (TAMWA –ZNZ) kinaiasa jamii kujizuia kurikodi watoto wadogo na kuwaweka katika mitandao baada ya kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji kwani kufanya hivyo ni kuwadhalilisha zaidi. Kufuatia kuenea kwa simu janja/mtetemo kumeibuka watu ambao wanarikodi watoto na kusambaza taarifa zao kupitia picha, sauti na video kinyume na taratibu na maadili ya uandishi wa habari. Tunaamini kwamba watu hawa wana nia njema ya kutaka haki itendeke na kuwatia ujasiri zaidi watoto lakini tunashauri wasifanye kazi hiyo na badala yake wawaaachie waandishi wa habari ambao wamesomea kazi hiyo na hivyo wanajua kuficha utambulisho wa watoto hao. Wato...
Vijana Kisiwani Pemba wametakiwa kuutumia vyema mtandao wa U- Report 
vijana

Vijana Kisiwani Pemba wametakiwa kuutumia vyema mtandao wa U- Report 

Na Maryam Talib – Pemba. VIJANA Kisiwani Pemba wametakiwa kuutumia vyema mtando wa U- Report ili kutatua matatizo yao ambayo yangeweza kukuwakwamisha katika kuendeleza maisha yao ya baadae ikiwemo afya ya uzazi, ukimwi na udhalilishaji. Akitoa maelezo msimamizi wa U- Report  kutoka Wizara ya Habari  vijana utamaduni na michezo Sheila Mwinyi alisema mtandao huu upo kwa lengo la kuwapatia elimu ya kujitambua vijana kusudi kuwaondoa katika majanga ambayo wangeweza kuyasababisha au kusababishiwa wao. Sheila alisema lengo hasa la kutaka vijana wazitumie fursa wanazopatiwa za kutapa mafunzo yote yanohusiana na mambo yote ya kijamii ni kurekebisha kile kilichotokea huko nyuma kwa wazazi kisije kikatokea  kwao na kupata taifa lililo bora zaidi. “Vijana nawaombeni sana muzitumie f...