Saturday, November 9

vijana

DC chake chake CYD inachochea maendeleo ya nchi
vijana

DC chake chake CYD inachochea maendeleo ya nchi

  NA ABDI SULEIMAN, PEMBA. MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Abdalla Rashid Ali, amesema taasisi ya CYD inachochea maendeleo ya Nchi kupitia Mradi wa Wanawake na Amani, kwani bila ya kuwapatia elimu juu ya umuhimu na utunzaji wa amani mambo mengi yanaweza kukosena. Alisema wanawake ndio walezi wakubwa wa familia majumbani, hivyo mradi huo umekuja wakati muwafaka kwani unawagusa moja kwa moja wanawake. Ameyaeleza hayo wakati akizungumza na wadau wa masuala hayo kutoka makundi mbali mbali, ikiwemo watu wa ustawi wa jamii, viongozi wa dini zote mbili, maimamu, Polisi, watu mashuri, hafla iliyoandaliwa na CYD, kufadhiliwa na shirika la WIIS-Kenya kwa kushirikiana na USIP na kufanyika mjini Chake Chake. Alisema amani inapoharibika watoto na wanawake ndio waathirika wakubwa, ...
Vijana wametakiwa kukitumia kituo cha mafunzo elekezi kwa lengo la kuleta maendeleo.
Kitaifa, vijana

Vijana wametakiwa kukitumia kituo cha mafunzo elekezi kwa lengo la kuleta maendeleo.

Na Maryam Talib – Pemba. AFISA Mdhamini Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Mfamau Lali Mfamau amewataka vijana kisiwani Pemba watumie fursa wanazopatiwa na Serikali yao pendwa ya Awamu ya nane ya Dokta Hessein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi kwa lengo la kuleta maendeleo katika nchi. Aliyasema hayo alipokuwa akizindua rasmi Mafunzo elekezi katika kituo cha Vijana Wete Weni Mkoa wa kaskazini Pemba. Mdhamin huyo alisema lengo la serikali kuanzinsha vituo hivyo vya  mafunzo elekezi vya  kusaidia vijana ni kuwataka waondokane na mawimbi ya  tabia chafu na badala yake waamke katika kujielimisha katika fani tofauti kwenye  vituo vilivoanzishwa kusaidia vijana iliwaweze kujisaidia wenyewe. Mfamau alisema Rais  wa Zanzibar na mwenyeklit...
Vijana waeleza namna wanavyokabilina na changamoto kusaka fursa za ajira
Biashara, Kitaifa, vijana

Vijana waeleza namna wanavyokabilina na changamoto kusaka fursa za ajira

Vijana waeleza namna wanavyokabilina na changamoto kusaka fursa za ajira  Wadau kukutana na vikwazo wakisaka mikopo, uwezeshaji   NA ABDI SULEIMAN, PEMBA SOTE tunafahamu kuwa vijana ndio tegemeo kubwa la taifa na ndio wazalishaji wakubwa katika nchi yoyote ile ulimwenguni. Miongoni mwa mazingira hayo kuanzishwa kwa baraza la Vijana, uwepo wa sera ya vijana, kuwepo na mikakati mbali mbali inayosimamia vijana, asasi mbali mbali za kiraia nazo zimekua na mchango mkubwa katika kusaidia vijana. (more…)
CYD yawakutanisha vijana kutoka Wilaya ya Wete na Micheweni katika kupanga mpango kazi wa kuwasaidia na kuchagua miradi 
vijana

CYD yawakutanisha vijana kutoka Wilaya ya Wete na Micheweni katika kupanga mpango kazi wa kuwasaidia na kuchagua miradi 

NA ABDI SULEIMAN. VIONGOZI wa Wilaya ya Wete na Micheweni Mkoa wa kaskazini Pemba wamesema katika siku za hivi karibuni Vijana wengi wameweza kubadilika tabia kwa kiasi kikubwa hali inayowafanya kuondokana na mfumo wa kuchaguliwa miradi ya maendeleo. Wamesema vijana Sasa wamekua wabunifu wakubwa wao wenyewe katika kuchagua miradi inayoendena na wao na kuwa rahisi kwao kutekeleza na kupata mafanikio makubwa. Wakizungumza katika mkutano wa kupanga mpango kazi wa kuwasaidia na kuchagua miradi itakayotekelezwa na vijana 15 kutoka Wilaya ya Wete na Micheweni 15, kupitia mradi wa Dumisha Amani unaotekelezwa na kituo Cha majadiliano Kwa Vijana Zanzibar (CYD) na kufanyika mjini chake Chake. Katibu Tawala Wilaya ya Micheweni Sheha Mpemba Faki, alisema vijana wamebadilika na kuch...
Vijana watakiwa kutambua thamani yao na kuachana na migogoro ya kisiasa.
vijana

Vijana watakiwa kutambua thamani yao na kuachana na migogoro ya kisiasa.

NA ABDI SULEIMAN. AFISA Mdhamini Wziara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Pemba Mfamau Lali Mfamau, amesema vijana sasa hivi wamekuwa wanapitia mambo mengi, hivyo elimu ya amani wanapaswa kupatiwa mara kwa mara ili kuendelea kuwa vijana wema kwa taifa lao. Alisema vijana waliowengi wanamekuwa wakijihusisha na migogoro ya kisiasa, kutokana na kushawishiwa na wanasiasa hivyo wanapaswa kutambua thamani yao katika nchi ni ulinzi na utunzaji wa amani. Mfamau aliyaeleza hayo huko katika ukumbi wa halmashauri ya Wilaya ya Micheweni, wakati akizungumza na vijana baada ya kumalizika kwa mafunzo yaliyotolea na CYD, kupitia ufadhili wa UNDP. Aidha aliwataka viojana kuhakikisha wanafanya kazi ili kujisaidia wao na familia zao na sio kukaa barazani, kwani taasisi nyingi zinaendel...