Thursday, November 14

vijana

Bado vijana wadai kuzongwa na umaya umaya wa changamoto
Biashara, ELIMU, Kitaifa, Makala, vijana

Bado vijana wadai kuzongwa na umaya umaya wa changamoto

PAMOJA NA JUHUDI ZA SERIKALI KWA VIJANA Bado vijana wadai kuzongwa na umaya umaya wa changamoto   NA ABDI SULEIMAN, PEMBA SOTE tunafahamu kuwa vijana ndio tegemeo kubwa la taifa na ndio wazalishaji wakubwa katika nchi yoyote ile ulimwenguni. Miongoni mwa mazingira hayo kuanzishwa kwa baraza la Vijana, uwepo wa sera ya vijana, kuwepo na mikakati mbali mbali inayosimamia vijana, asasi mbali mbali za kiraia nazo zimekua na mchango mkubwa katika kusaidia vijana. VIJANA WENYEWE WANASEMAJE Maryam Mussa Salum (22) mkaazi wa Ng’ambwa, anasema changamoto kubwa ni kuwezeshwa, upatikanaji wa mitaji na elimu ya kutoka, kwani bila ya elimu hakuna linaloweza kufanyika. “Mfano kijana anakwambia ndoto yake ni kufanya biashara, lakini hana elimu wala mtaji, unadhani anaweza kufikia...
Vijana watambue suala la amani lina umuhimu katika kuleta maendeleo nchini.
vijana

Vijana watambue suala la amani lina umuhimu katika kuleta maendeleo nchini.

NA ABDI SULEIMAN VIJANA Kisiwani Pemba wametakiwa kufahamu kwamba suala la amani lina umuhimu wake katika kuleta maendeleo nchini, hivyo wanakila sababu ya kuhakikisha amani ilyopo nchini wanaiyendeleza kwa maslahi ya taifa. Alisema amani ni hazina pekee ambayo baadhi ya matifa duniani wanaitafuta, hivyo vijana wanapaswa kuilinda kwa hali yoyote amani hiyo. Hayo yameelezwa na mratibu wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Pemba Ali Mussa Bakar, wakati alipokua akifungua mafunzo ya siku mbili kwa vijana kutoka Wilaya ya Wete, kupitia mradi wa AMANI VISIWANI unaotekelezwa na CYD kwa ufadhili wa shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeloe Duniani (UNDP). Aidha alifahamisha kwamba uwepo wa amani unapelekea upatikanaji wa huduma bora, zipo nchi hazina anami na maendeleo hakuna...
Kitaifa, vijana, Wanawake & Watoto

VIDEO: MALEZI YA PAMOJA NI KINGA YA KUWALINDA WATOTO NA VITENDO VYA UDHALILISHAJI.

  NA RAYA AHMADA. Familia zimeshauriwa kurejesha malezi ya pamoja kama ni kinga ya kuwalinda watoto na wanawake kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia.   Rai hiyo imetolewa katika Ofisi ya jumuiya ya KUKHAWA Chake Chake na washiriki wa mkutano wa kupokea mikakati na maoni juu kupambana na vitendo hivyo uliowashirikisha wajumbe wa shehia na wadau kutoka asasi za kiraia na serikali, ambao ni hatua ya utekelezaji wa mradi wa kata ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto Kusini Pemba, unaotekeleza na jumuiya ya KUKHAWA chini ya ufadhili wa asasi ya the Foundation for civil society. Muwezeshaji wa mkutano huo afisa kutoka TAMWA Asha Mussa  amesema licha ya familia kujenga uthubutu wa kuviripoti vitendo ya udhalilishaji, lakini mikakati ya pamoja inahitajika k...
‘SHERIA ZINAZOLINDA HAKI ZA WANAWAKE ZITEKELEZWE KWA VITENDO’
ELIMU, Sheria, vijana, Wanawake & Watoto

‘SHERIA ZINAZOLINDA HAKI ZA WANAWAKE ZITEKELEZWE KWA VITENDO’

NA HAJI NASSOR, PEMBA. WANAWAKE wa kiislamu ambao wanachuma mali pamoja na waume zao, wametakiwa kufuatilia haki zao za kupatikana kwa mali, mara baada ya ndoa kuvunjika, kwani sheria ya Mahakama ya kadhi, nambari 9 ya mwaka 2017 imetoa haki hiyo. Ilielezwa kwenye sheria hiyo, kifungu cha 5 (1) (f) kuwa, mwanamke aliyeachwa na ikiwa wamechuma mali pamoja na aliyekuwa mume wake, anaweza kulalamika mahakamani, kupata mchango wa kuanzia maisha. Hayo yalibainika hivi karibuni, kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ofisi ya PEGAO, Chake chake, wakati Mkurugenzi wa asasi hiyo Hafidh Abdi Said, alipokuwa akitoa taarifa kwa waandishi hao, juu ya utekelezaji wa haki za mwanamke. Alisema, wapo baadhi ya wanaume wamekuwa wakichuma mali pamoja na mwanamke, ingawa baada ya ndoa kuvunj...
KAMATI yaishauri Wizara kufuatilia bidhaa za wajasiriamali
Kitaifa, vijana

KAMATI yaishauri Wizara kufuatilia bidhaa za wajasiriamali

  NA ABDI SULEIMAN. KAMATI ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, imeitaka Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Pemba, kufuwafuatilia wajasiriamali wa bidhaa za mkono, ili kuwasaidia katika suala zima la umaliziaji wa bidha hizo kuhakikisha zinakua na ubora wa hali ya juu kabla ya kuziingiza sokoni. Wajumbe wa kamati hiyo wamesema wajasiriamali wa bidhaa hizo Unguja na Pemba, wamakwama katika sehemu ya umaliziaji (finishing) wa bidhaa zao, katika kuwavutia wateja licha ya kua bidhaa hiyo ni bora na nzuri. Wakizungumza mara baada ya kupokea ripoti ya Robo ya nne ya kuanzia April hadi Juni 2022, kwa wajumbe wa kamati ya Ustawi wa Jamii ya baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla iliyofanyika Gombani Mjini Chake Chake. Makamu mwenyekiti wa k...

Warning: file_get_contents(): http:// wrapper is disabled in the server configuration by allow_url_fopen=0 in /data/40/5/71/99/5397425/user/6768456/htdocs/portal/wp-content/plugins/xt-visitor-counter/xt-visitor-counter.php on line 48

Warning: file_get_contents(http://api.xtrsyz.org/xt-visitor-counter/default.php?domain=www.pembapress.club&time=1731553141): Failed to open stream: no suitable wrapper could be found in /data/40/5/71/99/5397425/user/6768456/htdocs/portal/wp-content/plugins/xt-visitor-counter/xt-visitor-counter.php on line 48