Thursday, January 2
ASASI ZA KIRAIYA ZINAZOSHIRIKI MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA KIFUA KIKUU ZIMETAKIWA KUONGEZA MASHIRIKIANO
afya, ELIMU

ASASI ZA KIRAIYA ZINAZOSHIRIKI MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA KIFUA KIKUU ZIMETAKIWA KUONGEZA MASHIRIKIANO

  NA KHADIJA  KOMBO. Asasi za kiraya zinazoshiriki katika mapambano dhidi ya magonjwa ya Kifua kikuu wametakiwa kuongeza mashirikiano na kitengo shirikishi cha Ukimwi kifua kikuu , ukoma na homa ya Ini   katika  kuhakikisha wanaibua wagonjwa wengi na kupatiwa matibabu kwa haraka ili  kuepuka  maambukizi zaidi kwa jamii. (more…)