PPC INATOA PONGEZI KWA DK MWINYI.

PONGEZI

UONGOZI WA PEMBA PRESS CLUB (PPC)

UNATOA PONGOZI ZAKE ZA  DHATI  KWA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI

MH .DK .HUSSEIN ALI MWINYI

KWA KUTIMIZA MWAKA MMOJA WA UONGOZI WAKE

TUNAMTAKIA KILA LA HERI.